Usiku wa Jan 27, 2019 Msemaji wa Simba SC Haji Manara alifanya sherehe fupi ya kusherekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake
Ambapo baadhi ya watu maarufu pamoja na viongozi walialikwa kwenye shughuli hiyo iliyokuwa na uzinduzi wa bidhaa ya perfume ya Haji Manara pamoja na foundation yake ya kusaidia watu wenye albinism.
Nimekusogezea Picha 27 ujionee mastaa waliohudhuria sherehe hiyo ya kuzaliwa kwa msemaji wa Simba SC Haji Manara.