AyoTV

Video: Dogo Janja kafunguka ‘naogopa zinaa, video za menina, siwezi jirekodi’

on

Baada ya Menina kumiliki headlines katika mitandao juu ya kusambaa kwa video na picha zake za utupu kupitia mitandao ya kijamii, sasa Dogo Janja amekaa kwenye mahojiano na Ayo TV & Millardayo.com kuzungumza.

‘Mimi sijawahi fanya hicho kitu hicho na siwezi kujirekodi na sidhani kama itakuja kutokea kwani naogopa, kama unavyojua ulizaliwa pekee yako na utakufa pekee yako kwahiyo usimuamini mtu yoyote’- Dogo Janja

Itazame hapa video Dogo Janja akiendelea kufunguka ‘Naogopa sana zinc, video za menina, siwezi jirekodi’

Soma na hizi

Tupia Comments