Duniani

Imeripotiwa Kupotea kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika

on

Habari kubwa zinazotrend sasa hivi mtu wangu moja nii hii iliyoripotiwa na kituo kikubwa cha habari Kenya cha Citizen kupotea kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika ambae hajarudi nchini kwake tangu alivyoondoka kuelekea New York Marekani kwenye mkutani mkubwa wa Umoja wa Mataifa kwa mujibu wa rekodi imetajwa kuwa aliondoka nchini New york, September 15 2016 na mpaka sasahivi hajawasili nchini kwake Malawi.

Rais Mutharika amepotea kwa muda wa wiki 3 tangu sasa aondoke nchini kwake na imepelekea raia wa nchi hiyo kuweka hashtags kwenye mitandao ya kijamii zikisema #bringbackMutharika haswa kwenye twitter kama unavyoona hapo chini.

untitled

ULIMISS KUTAZAMA MAGAZETI YA LEO OCT 13 2016 MAGUFULI AOKOA BIL.6 POSHO ZA MWENGE, ATC L KUTEKA RUTI? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments