Michezo

Maneno matatu ya Samatta baada ya Omar Colley kuhama Genk

on

June 19 2018 rasmi club ya Sampdoria ilitangaza rasmi kumsajili nahodha wa timu ya taifa ya Gambia aliyekuwa anaichezea club ya KRC Genk ya Ubelgiji Omar Colley.

Omar Colley baada ya kuichezea KRC Genk kwa miaka miwili ameamua kwenda Italia katika club ya Sampdoria kutafuta changamoto mpya, baada ya kuondoka Mbwana Samatta ambaye ni rafiki na Colley ametumia ukurasa wake wa instagram kumtakia kila la kheri.

Samatta kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika ujumbe mfupi wa kumtakia kila la kheri Omar Colley katika safari yake mpya ya soka “Congratulation and goodluck my buddy @ocolley15 water brother😂”

Samatta na Omar Colley wakiwa katika ibada ya umrah Macca Saudi Arabia.

FULL VIDEO: Zilivyotolewa tuzo za MO Simba Awards 2018

Soma na hizi

Tupia Comments