Video Mpya

VideoMPYA: Rudeboy wa Psquare anakualika kuitazama “Nkenjikeke”

on

Staa wa muziki wa Nigeria Rudeboy aliyekuwa anaunda kundi la Psquare na pacha wake Peter, ameamua kuja kivyake kwa mara nyingine baada ya kundi la Psquare kugawanyika, Rudeboy ameachia video mpya “Nkenjikeke” bonyeza PLAY kuitazama.

Nje ya Tanzania na Afrika Kusini hii ni nchi Diamond anafikiria kununua nyumba

Soma na hizi

Tupia Comments