Michezo

Milioni 2 za Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera zilivyogaiwa kwa vituo vya Yatima (+video)

on

Baada ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera kutoa EURO 1000 ambazo sawa na zaidi ya Shilingi Milioni Mbili na Nusu za Kitanzania fedha hizo zimegawanya kwa vituo sita vya kulelea Watoto Yatima jijini Dar es Salaam.

Kocha Zahera ametoa fedha hizo kupitia Mtangazaji Mboni Masimba ambaye alizigawa fedha hizo ambapo kila kituo kilipata takribani Shilingi Laki Nne.

Full Video: Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera alivyotoa UERO 1000, sababu hizi hapa

Soma na hizi

Tupia Comments