AyoTV

TATU MZUKA: Washindi wa nne wametangazwa Leo

on

Tatu Mzuka kama kawaida wameendelea kutoa fedha  kwa washindi mbalimbali wanaoshinda kwenye droo ya kila Jumapili ambapo leo February 7, 2018 wamewawakabidhi washindi wawili kati ya wanne walioshinda pesa siku ya Jumapili ya February 4, 2018.

Kitu Tatu Mzuka wamefanya kwenye Wilaya ya Ubungo

Soma na hizi

Tupia Comments