Video Mpya

VideoMPYA: Ni Bonge la nyau ft Beka Flavour “Najiona Mbali”

on

Baada ya kimya cha muda mrefu kidogo cha msanii wa Bonge la Nyau hatimae leo ameamua kuachia video ya wimbo wake mpya “Najiona Mbali” aliyomshirikisha Beka Flavour, Bonyeza PLAY kuitazama video yenyewe.

Uvumilivu unamshinda Diamond kuachwa na Zari

Soma na hizi

Tupia Comments