Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

AyoTV

VIDEO: Kwa watu wa urembo, kuna hii mpya ya kuifahamu kwa mara ya kwanza Tanzania

on

Mwenyekiti na miongoni mwa waasisi wa chama cha urembo na vipodozi Tanzania (TCA) Shekha Nasser ameongea na waandishi wa habari kuelekea uzinduzi rasmi wa chama cha hicho, Shekha ameongelea malengo ya TCA ni pamoja na kuwafanya watu waamini hiyo ni taaluma kama zilivyo nyingine na sio kazi ya walioshindwa au kufeli shule.

“Chama hiki (TCA) kiliasisiwa mwaka 2017 nikiwa kama mwenyekiti nikajitahidi kuungana na wenzangu ambao tasnia hii, lengo la TCA ni kuinua na kuipa heshima hii tasnia ya vipodozi kwa sababu tumeona kwa miaka mingi inaonekana ni fani ambayo wanaenda kusomea watu waliofeli shule”>>> Shekha

VIDEO: MWALIMU KASHASHA KATOA TATHMINI KWA YANGA HII DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS

Soma na hizi

Tupia Comments