Mix

PICHA 9: Bunge la Bajeti la Afrika Mashariki limeendelea Arusha, bajeti hii ndio iliyowasilishwa

on

Bunge la Bajeti ya Afrika mashariki kwa mwaka wa Fedha 2016/17 limeendelea leo May 27 2016 Arusha ambapo Naibu Waziri wa mambo nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Baraza la Mawaziri, Suzan Kolimba amewasilisha bajeti ya shilingi milioni 101.1 kwa mwaka wa fedha 2016\2017.

Baada ya uwasilishaji wa bajeti hiyo Suzani Kolimba ameyazungumza haya ……….

>>>’ukisema kwamba zinasuasua ni kutokana na kwamba uhalisia wa mambo kwa sababu wanaleta kile walichokipata, mwaka jana bajeti ilikuwa milioni 110, mambo yote yanafanyika kutokana na mpango wenyewe ambao  sehemu kuu ni utekelezaji wa shughuli zote  zinazohusiana na Jumuiya zikiwemo zile taasisi za jumuiya yenyewe’

>>>’Vipaumbele ni vingi ikiwemo mambo ya Nishati, kuhakikisha kwamba tunatengeneza system za kibenki kwa ajili ya kufanya umoja wa kifedha, hii bajeti inakuwa inajumlisha shughuli zote zinazofanywa na Jumuiya ikiwemo bajeti ya Mahakama, bajeti ya bunge lenyewe hili na taasisi zote zilizo chini ya Jumuiya’:-Suzan Kolimba

 
DSC_0082

.

DSC_0089

.

DSC_0103

Dk . Suzan Kolimba

DSC_0121

Dk . Suzan Kolimba

Ima1300032

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Abdulah Mwinyi

DSC_0014

DSC_0030

Dk . Suzan Kolimba na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Liberat Mfumukeko.

DSC_0049

.

DSC_0073

Dk . Suzan Kolimba na Mbunge wa Afrika Mashariki anayewakilisha Kenya, Mumbi Ng’aru.

ULIKOSA SERIKALI ILIPOTANGAZA RASMI KUTUMIKA KWA ALAMA HIZI ZA AFRIKA MASHARIKI? UNAWEZA KUANGALIA HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments