fB insta twitter

Mke wa trafiki adaiwa kukiri kumuua mumewe, ataja hii sababu

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.

Moja ya story kubwa may 31 2016 kwenye gazeti la Habari leo yenye kichwa cha habari kisemacho” Mke wa trafiki adaiwa kukiri kumuua mumewe” gazeti hilo limeripoti kuwa mke wa trafiki wa usalama barabarani Sajent Ally ‘Kinyogori’ aliyeuawa hivi karibuni, inadaiwa amekiri kuhusika kwenye mauaji hayo akidai ilitokana na mumewe kumuacha na kuoa mke mwingine.

Kamanda wa Police kanda maalum ya  Dar es Salaam Simon Sirro aliwaambia waandishi wa habari  kuwa mwanamke huyo anashikiliwa na police kwa mauaji hayo yaliyofanyika nyumbanii kwa Kinyogori, Mkuranga mkoani Pwani

 

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI MAY 31 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments