Top Stories

RC Mwanri atawala ujio wa ndege mpya “chikichiii chikichii eeh, Bwire soma hiyo” (+video)

on

Picha na video za ndege ya pili aina ya Airbus A220-300 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania kwa ajili ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) zimesambaa mtandaoni zikiionesha ikifanyiwa maandalizi ya mwisho kabla ya kuruka kuja hapa nchini ambapo inatarajiwa kuwasili kesho Ijumaa January 11, 2019.

Hapa nimekusogezea jinsi misemo ya RC wa Tabora Aggrey Mwanri ilivyotawala katika ukaribisho wa ndege hiyo.

RC MWANRI AMVAA MHINDI KISA WAFANYAKAZI “WHERE IS MIKATABA NOW, BISHA UONE”

Soma na hizi

Tupia Comments