Habari za Mastaa

Dogo Janja aonyesha nyumba aliomjengea Mama yake, ‘Vipi Mrembo aliemficha’ (+video)

on

Staa wa Bongofleva Dogo Janja leo December 4, 2018 amefanya dua ya kumuombea Baba yake ambapo ametuonyesha nyumba aliyomjengea Mama yake Mkoani Arusha ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha Mama yake anaishi sehemu nzuri.

“Sisi tumekulia katika nyumba ya kupanga, Mimi na Kaka yangu tulikuwa tunalala sebuleni baada ya Baba kufariki Mimi nimebaki kama Baba wa familia, Mama angu anahitaji sana faraja, najitahidi sana kumpa faraja sababu siwezi badilishana na Mtu mama” Dogo Janja

Producer kafunguka Shetta kutumia biti ya Nandy “aliniomba ni ile ile”

Soma na hizi

Tupia Comments