Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Michezo

Samatta anaendeleza alipoishia Genk wakimpiga mtu

on

Club ya KRC Genk ya Ubelgiji inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta, baada ya kuanza na msimu mbaya katika Ligi Kuu ya nchini humo.kwa kupoteza michezo miwili leo imeanza kwa kishindo.

Genk iliyokuwa imepoteza michezo yake miwili kati ya minne niliyocheza, leo imeibuka na ushindi.mnono dhidi ya Waasaland Beveren kwa ushindi wa magoli 4-0.

Ushindi huo wa Genk ulichagizwa na hat trick ya Mbwana Samatta aliyefunga magoli matatu dakika ya 53, 66 na 86, hiyo baada ya Paintsil kufunga goli la Kwanza dakika ya 21, Samatta pia ametangazwa mchezaji bora wa mechi.

Soma na hizi

Tupia Comments