Video Mpya

Hii hapa ‘Magu Chuma’ ya Simorix The General aliyopost Gerson Msigwa

on

Mkurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu Gerson Msigwa amepost wimbo wa Simorix The General ambayo inamsifia JPM ambapo Msigwa ameipa jina ‘hii ni bongo mpaka Ulaya’.

Video hiyo ambayo imefanyika nchini Australia na kushiriksha baadhi ya watu wa Taifa hilo, bonyeza PLAY hapa chini kuutazama wimbo huo

Soma na hizi

Tupia Comments