Michezo

Hii kali tazama mashabiki wa Simba wakipakwa shedo na kunyolewa vipara (+video)

on

Baada ya game ya Simba SC na Yanga kumaliza kwa Simba kukubali kipigo cha goli moja kwa bila, leo March 10, 2020 kutoka Mkoani Kigoma mashabiki wa Simba wamenyolewa vipara kwa wembe na kupakwa poda.

#LIVE : VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA WAKIINGIA MAHAKAMANI KUSIKILIZA HUKUMU

Soma na hizi

Tupia Comments