Michezo

Hii ndio bei ya jezi ya Ubingwa ya Liverpool

on

Kampuni ya vifaa vya michezo ya New Balance ambao ndio wazalishaji wa jezi za club ya Liverpool ya England, tayari wametengeneza jezi za kusherehekea Ubingwa wao wa kwanza wa Liverpool wa Ligi Kuu England baada ya miaka 30 kupita, jezi hizo zinauzwa pound 70 (Tsh 199,572).

Soma na hizi

Tupia Comments