Gari aina ya Fiat ni miongoni mwa gari za zamani ambazo zina nguvu sana kutokana na uwezo wake wakubeba mzigo mkubwa,dereva anayeendesha gari hiyo anayefahamika kwa jina la Juma amesema ina gia tisa lakini ina uwezo mkubwa wakubeba vitu vizito.
“Wengi wanakataa kupanda wanaogopa lakini huku yunakoelekea porini hamna gari nyingine lazima wapande,hii imetengenezwa kwa mfumo wa Low Scania kwa mfumo wa high na hii ina speed 100 tu kazi yeyote inafanya unaitengenezea body”-Dereva