Michezo

Hii ndio listi ya nyimbo anazosikiliza Wayne Rooney wakati wa Kombe la Dunia

on

article-2642291-1E4D3B3300000578-692_634x431Zikiwa zimebaki takribani wiki mbili kabla ya michuano ya kombe la dunia kuanza, mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya England Wayne Rooney, leo ameshea playlist ya nyimbo atakazokuwa anasikiliza sana wakati wa michuano ya kombe la dunia nchini Brazil.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, Rooney aliandika: “Hii ndio albam yangu kwa ajili ya World Cup, natumaini mtaifurahia.”

Katika listi hiyo wimbo wa kwanza kabisa ni wa mwanamuziki Beyonce alioshirikiana na mumewe Jay Z, Drunk In Love, msanii mwingine ambaye yupo kwenye listi hiyo ni Ed Sheeran, James Blunt na wengine wengi.

Listi ya nyimbo anazosikiliza Rooney kwa ajili ya World Cuparticle-0-1E492B5C00000578-543_634x554

article-0-1E492B8E00000578-238_634x514

Tupia Comments