Michezo

Hii nyingine kali ya zawadi ya Valentine waliyopewa wapenzi na klabu ya Ubelgiji

on

grasshopper-jacuzzi-594x375.jpg?w=1000&h=630Huko nyuma, vilabu vya Uholanzi na Uswis vimewahi kuwa na promotion kadhaa ambapo mashabiki waliweza kuangalia mpira uwajani wakiwa wanaoga kwenye hot tub kubwa linalokuwa ndani ya uwanja.

Club Brugge v KV Kortrijk - Jupiler Pro LeagueLakini wikiendi hii klabu ya Club Brugge iliwapa zawadi wapenzi wawili zawadi ya sikukuu ya Valentine kwa kuwaruhusu kuangalia mechi ya Jupiler League dhidi ya KV Kortrijk wakiwa wamelala kwenye kitanda walichoandaliwa pembeni mwa uwanja.

Club Brugge v KV Kortrijk - Jupiler Pro LeagueKuifanya siku hiyo kuwa nzuri zaidi kwa wapenzi hao, Brugge ilishinda kwa mabao 3-1 na kuifanya siku ya Valentine Day kwa wapenzi hao kuwa nzuri zaidi.

 

Tupia Comments