Top Stories

Hii sasa ndio historia ya Bilionea Laizer, msoto wa miaka 10, Wake wanne, Watoto 30 na mengine

on

Tunamalizia kusikia kutoka kwa Bilionea mpya Tanzania Saniniu Laizer ambaye wiki hii amepata BILIONI 7.8 kutokana na madini makubwa aliyoyapata kwenye mgodi wake Mererani Manyara, hii video hapa chini ni simulizi ya historia yake, kuanzia alipoishia darasa la 7, msoto wa miaka 10, Wake wanne, Watoto 30 na mengine

EXCLUSIVE: SHOPPING MALL ANAYOIJENGA BILIONEA LAIZER ARUSHA “NI GOROFA 3, PARKING MAGARI 80”

Soma na hizi

Tupia Comments