Top Stories

Hili ndilo kaburi la hayati Maguful, lajengewa nyumba, Majaliwa afika (video+)

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki katika sala fupi ya kumuombea aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano, Hayati Dr. John Pombe Magufuli kwenye eneo alikozikwa Wilayani Chato, Mkoani Geita leo Oktoba 12, 2021, kwenye sala hiyo alikuwepo pia Mama Janeth Magufuli, aliyeonekana amepiga magoti ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.

VIDEO CALL: RAIS MWINYI AONGEA NA GURNAH, MZANZIBAR MSHINDI WA NOBEL ANAYEISHI ULAYA

Soma na hizi

Tupia Comments