Mix

Watu wangu wa Himo hii ni kwa ajili yenu kutoka NMB.

on

DSC_0131Mkuu wa wilaya ya Moshi Mhe. Dkt Ibrahimu Msengi  akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Himo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Kushoto ni meneja wa NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akifuatiwa na  meneja mawasiliano wa NMB Josephine Kulwa na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe. Augustino Mrema wakishuhudia uzinduzi huo.

DSC_0217Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo wakifuatilia kwa makini sherehe za uzinduzi wa tawi jipya la NMB Himo.

Hafla ya uzinduzi wa tawi hilo la NMB Himo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya tawi hilo mkoani Kilimanjaro.

Tupia Comments