AyoTV

Kwenye video 10 za Hiphop TraceTV hizi ndio 3 za juu.

on

Screen Shot 2014-09-23 at 9.34.39 AMTrace Urban ni kituo cha TV cha kimataifa cha Ufaransa ambacho kimekua na ongezeko la Watazamaji kila siku kwenye bara la Afrika kutokana na nguvu yake ya kuusogeza pia muziki wa Afrika ambapo Diamond, Ommy Dimpoz na Ay ni miongoni mwa wakali wa bongo ambao video zao huchezwa.

Kwenye Top10 ya video bora za hiphop sasa hivi duniani September 22 2014 hizi ndizo zilizoshika nafasi tatu za juu..

Video namba 3 ni hii ya mkali T.I ft. Iggy Azalea – No Mediocre

#2 ni SchoolBoy Q – Studio ft. BJ The Chicago kid

Namba one ni hii ya Rich Gang ft. Young Thug, Rich homie Quan

Jiunge na mimi kwenye kwa kubonyeza hapa ili niwe nakutumia kila kinachonifikia…. >>> Twitter Instagram Facebook

Tupia Comments