Habari za Mastaa

Pale mtoto wa miaka 12 alipoitwa na Jay Z kwenye stage, akachana!

on

Screen Shot 2014-01-09 at 1.36.33 PMNi mtoto wa miaka 12 anaitwa Justin Kyler ambae aliingia kwenye show ya Jay Z huko North Carolina na kukaa kwenye siti za mbelembele akiwa na bango lenye maandishi ya kuomba kumuonyesha Jay Z uwezo wake kwenye kurap.  ‘Can I rap for you?

Unaambiwa hii ishu haikua imepangwa, ni kweli huyu mtoto alikua na ndoto sana za kutambulika na Jay Z ndio maana akamsisitizia mama yake kumpeleka kwenye hii show, baada ya Jay Z kumuona aliamua kumuita kwenye stage na hiki ndicho alichofanya.

Video zote hizi mbili hapa chini zinahusika

Tupia Comments