Habari za Mastaa

Umeziona video 10 za Hip Hop zinazotamba kwenye Top10 ya TraceTV? ziko hapa

on

.

.

Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa na hamu ya kufahamu Hip Hop inayofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.

kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa kuangalia hii top 10 yao ya nyimbo kali za hiphop wiki hii.

10.Snootie Wild- Made Me (Remix) ft K Camp, Jeremih, Boosie Badazz

9.School Boy Q- Hell of a night

8.O.T Genasis- Coco

7.J Cole- Apparently

6.B.O.B- Not for long ft Trey Songz

5.Wale ft Jeremih- The Body

4.Big Sean- IDFWY ft E-40

3.Rae Sremmurd- No Type

2.Def Loaf – Try Me

1.Nick Minaj- Only ft Drake, Lil Wayne, Chris Brown

Tupia Comments