Hisa za kampuni kubwa ya umeme ya Tesla zilichapisha ongezeko kubwa kufuatia ushindi wa Donald Trump siku ya Jumatano.
Kufikia GMT1640, bei ya hisa ya kampuni iliongezeka kwa karibu 13.3% hadi $284.7.
Trump anatarajiwa kutekeleza ushuru wa ziada kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje, ikiwa ni pamoja na magari ya umeme (EVs), hasa kutoka China.
Hali hii itaimarisha utawala wa Tesla katika soko la US EV.
Elon Musk, mmiliki wa kampuni hiyo, alikuwa mmoja wa wafuasi wakubwa wa Trump wakati wa mchakato wa uchaguzi na alisapoti muda mwingi.