Top Stories

Historia ya soko la Kariakoo, kifo cha aliechora ramani (+video)

on

Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam lipo katika kiwanja namba 32 eneo la Kariakoo, katikati ya makutano ya mtaa wa Mkunguni na mtaa wa Nyamwezi na limezungukwa na mitaa ya Nyamwezi, Mkunguni, Sikukuu na Tandamti.

Historia ya soko la hilo inarudi nyuma hadi enzi za Wakoloni wa Kijerumani wakati wanaitawala Tanganyika.

Soma na hizi

Tupia Comments