Top Stories

Hivi ndivyo ujenzi wa chelezo ya meli ulivyoshika kasi, Bilioni 36 kutumika (+video)

on

Ujenzi wa chelezo katika Bandari ya Mwanza Imefikia asilimia 55 na inatarajiwa kukamilika mwezi March 2020, ujenzi huo utaigharimu Serikali Tsh Bilion 36 mpaka kukamilika kwake.

Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa kamati ya Usimamizi wa Ujenzi huo Mhandisi Poul Olekashe kutoka Wizara ya Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano.

TAZAMA NGUVU AINA NNE ZA FFU “MOTO UMEANZA, ENJOY MABOMU” “FANYA FUJO UONE”

Soma na hizi

Tupia Comments