Top Stories

Alichokisema Ester Bulaya baada ya Halima Mdee kufanyiwa Upasuaji (+video)

on

Tunayo stori kutokea kwa Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya ambapo amezungumzia hali ya kiafya ya mbunge mwenzie wa Kawe, Halima Mdee ambaye anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan.

Mdee ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, alifanyiwa upasuaji siku ya Ijumaa, Juni 7, 2019 akiwa amelazwa hospitalini hapo tangu Alhamis, wiki hii.

Mdee ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) Taifa na , alilazimika kufanyiwa upasuaji baada ya kushauriwa na madaktari wake kwa ajili ya kutibu ugonjwa uliokuwa unamsumbua.

FULL VIDEO: MBUNGE HALIMA MDEE AKIOMBEWA NA ASKOFU HOSPITALINI BAADA KUFANYIWA UPASUAJI

Soma na hizi

Tupia Comments