Video Mpya

VideoMPYA: Maua Sama na Hanstone wameileta ‘Iokote’ kwenye TV

on

Muimbaji wa Bongofleva Maua Sama leo ameileta rasmi video ya hit-single yake ya Iokote kwenye TV, Maua ameachia rasmi video ya wimbo huo aliyoiba na Hanstone leo October 6 2018, unaweza kubonyeza PLAY kuitazama video yenyewe.

Krish wa Uwoya kaandika ujumbe wa wazi kumkumbuka baba yake Ndikumana

Soma na hizi

Tupia Comments