Michezo

Utani wa Mwalubadu kwa kocha Mayanga baada ya kipigo cha 4-1

on

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars usiku wa jana March 22 ilicheza game ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Algeria mjini Algers nchini Algeria na kupoteza kwa magoli 4-1, baada ya kipigo stori zilianza kuenea katika mitaani kuwa kocha amekina kikosi.

Katika mchezo huo wa Taifa Stars waliyofungwa magoli 4-1, goli la pili la Algeria lilipatikana kwa Shomari Kapombe kujifunga, mchekeshaji Mwalubadu ameandaa kitu chake kwa kocha wa Taifa Stars Salum Mayanga kuwa mbona alisahau kumwambia Yondani amkabe Kapombe hadi anapiga free header na kuifunga Taifa Stars.

Tazama hapa kichekesho chenyewe

UTANI MWINGINE HUU: Mkaliwenu baada ya sare ya 2-2 ya Simba SC vs Al Masry

Soma na hizi

Tupia Comments