AyoTV

Kabwili baada ya kucheza kwa dakika 90 kwa mara ya kwanza Yanga

on

Baada ya game AyoTV iliongea na golikipa Ramadhani Kabwili wa Yanga ambaye ana umri chini ya miaka 20 na leo ameidakia Yanga kwa mara ya kwanza katika mechi ya mashindano kwa dakika 90.

Baada ya golikipa Namba moja wa Yanga Rostand kuwa nje ya uwanja kwa majeruhi toka mchezo dhidi ya Lipuli. Kama utakuwa unakumbuka vizuri Ramadhani Kabwili alikuwa sehemu ya kikosi cha Serengeti Boys under 17 kilichoiwakilisha Tanzania katika michuano ya AFCON U-17 iliyofanyika mwaka 2017 nchini Gabon.

VIDEOMagoli: Ushindi wa 4-0 wa Yanga vs Njombe Mji, Obrey Chirwa akipiga hat-trick

Soma na hizi

Tupia Comments