Top Stories

VideoFUPI: Aveva, Kaburu walivyofika Mahakamani leo Sept 18

on

Rais wa Simba SC Evans Aveva na Makamu wake Geofrey Nyange Kaburu wamefika tena Mahakamani katika kesi yao ya kutakatisha fedha. Wawili hao walioneka wakiwasili katika ukumbi wa mahaka ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo upelelezi wa awali wa kesi yao umekamilika na jalada tayari limefikishwa kwa mkurugenzi wa mashtaka (DPP).

Unaweza kutazama kwa kuplay hii video ya jinsi Aveva na Kaburu walivyofika mahakamani

Ulipitwa na hii?PICHA YA MAMA DIAMOND: Ommy Dimpoz kaitwa Polisi kwa mara ya pili

Hii je? Baada ya Yusuf Manji kuachiwa, SHERIA INASEMAJE?

Soma na hizi

Tupia Comments