AyoTV

“Nilimuona sio mchezaji mzuri kumbe ameambiwa amerogwa”-Kocha Simba SC

on

Simba leo January 18 2018 ilicheza game yake ya 13 ya Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Singida United na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0, baada ya game kaimu kocha mkuu wa Simba Masoud Djuma aliongea na vyombo vya habari kuhusiana na mchezo.

Masoud ameeleza kuwa wachezaji kama Mavugo hakumpanga kwa sababu hayupo fiti lakini Gyan mwanzoni alimuona sio mchezaji na akawa hampi nafasi, kumbe ni kwa sababu kuna watu walimuharibu kisaikolojia wakamwambia amerogwa.

VIDEO: Simba ilivyoiadhibu Singida United 4-0 leo, magoli yote yapo hapa

Soma na hizi

Tupia Comments