Mix

Huu ndio mpango wa kupunguza ajali barabarani kwa wanafunzi shule za msingi

on

Mwaka 2017 AAT kwa kushirikiana na jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani walizindua awamu ya kwanza ya mradi wa kutoa elimu kwa wanafunzi wa shule za msingi juu ya utambuzi wa alama za barabarani ili waweze kuvuka barabara.

Leo April 5 imezinduliwa tena awamu ya pili ya mradi huo baada ya mwaka 2017 walimu zaidi ya 1000 wa shule za msingi kupewa elimu ya utoaji mafunzo hayo kwa wanafunzi, unaweza kubonyeza PLAY hapo chini kuona uzinduzi wa awamu ya pili.

Mbunge Heche (CHADEMA) “Maagizo ya shinikizo hayanitishi, hayanirudishi nyuma”

Soma na hizi

Tupia Comments