AyoTV

RC Makonda na Askofu Gwajima uso kwa uso kanisani kwa Askofu Kakobe (+video)

on

Hi headlines za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Askofu Gwajima ambapo wawili hawa kama utakuwa unakumbuka miezi kadhaa iliyopita  walikuwa na tofauti zao lakini leo wameonekana wakizungumza kwa pamoja katika kanisa la Askofu Kakobe

Kanisa la Askofu Kakobe limetimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo, hapa chini nimekusogezea video ujionee alichozungumza RC Makonda mbele ya Askofu Gwajima.

 

Soma na hizi

Tupia Comments