AyoTV

VIDEO: JPM aeleza Dk. Bashiru alivyopigwa vita na CCM ‘walisema ni CUF’

on

Leo November 1 2018 President Magufuli leo akihutubia kwenye Kongamano la hali ya uchumi lililofanyika chuo kikuu cha Dar es salaama ameeleza kuhusu namna ambavyo alivyotaka kumteua katibu mkuu wa chama cha mapinduzi, Dk. Bashiru Ally alipingwa ndani ya chama hicho wakidai Dk. Bashiru ni CUF. 

Rais Magufuli ameongeza kuwa licha ya baadhi ya wanaCCM kupinga yeye bado alisema anamtaka mwanaCUF ndani ya CCM ambaye kwa sasa anamsaidia sana. Unaweza kubonyeza play hapa chini kuitazama video 

Kitu amekiongea RC Makonda mbele ya Rais Magufuli LEO, ”RAIS HAJATUTUMA”, Bonyeza play hapa chini kutazama

Tupia Comments