Top Stories

Watano washikiliwa na Polisi Arusha vurugu siku ya uchaguzi

on

Polisi Arusha inawashikilia watu watano wakidaiwa kuhusika na vurugu katika uchaguzi mdogo wa Madiwani Arusha huku likisema wamepata taarifa za kujeruhiwa watu watano.

RPC Mkumbo amesema watu hao wanadaiwa kushambulia kwa kutumia vitu vyenye ncha kali ikiwemo mapanga na Polisi wanaendelea na uchunguzi.

BREAKING: Kauli ya CCM kuhusu uchaguzi mdogo wa udiwani uliokamilika

Soma na hizi

Tupia Comments