Videos

VideoMPYA: Dulla Makabila ana hii mpya “Kuingizwa”

on

Mkali wa muziki wa Singeli Dulla Makabila ambaye amefanya vizuri na ngoma yake ya ‘Haujaulamba’ leo March 24 2018 ameamua kutoa video mpya kwa mashabiki wake, Dulla Makabila leo ameaachia rasmi video ya ‘Kuingizwa’

Mama Ashura ndio sababu ya ukimya wa Ebitoke na Bwana Mjeshi? Wazungumza hapa

Soma na hizi

Tupia Comments