Habari za Mastaa

Jipya alilofanya Rose Ndauka “Mchawi ni wewe, hakuna kufeli” (+video)

on

Msanii wa filamu Rose Ndauka amekuja na dili jipya la kufungua Ofisi inayojihusisha na urembo ambapo wanawake, wanaume na familia zinaweza kuhudumiwa kwa wakati mmoja.

Katika ofisi hiyo, Ndauka amesema hadi sasa amefungua fursa za ajira kwa watu 10 na anatarajia kufika hadi mikoani. Pia amewataka watu kuacha kukata tamaa.

EXCLUSIVE: “SASA NAENDA KUOLEWA, NATAMANI WATOTO MAPACHA” ZARI THE BOSS LADY

Soma na hizi

Tupia Comments