Top Stories

Agizo la Makamu wa Rais kwa watenegenezaji na wauzaji wa mvinyo Dodoma

on

Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa tamasha la mvinyo utokanao na zao la zabibu mkoani Dodoma lengo likiwa ni kukuza soko la zao hilo ambapo katika hotuba yake ameelekeza wachakataji na wasambazaji wa mvinyo huo kuzingatia taratibu zilizowekwa na nchi ili kuwezesha biashara hiyo kukua kimataifa.

GOOD NEWS iliyotolewa kwa Wafanyabiashara na Wajasiriamali Dodoma

Soma na hizi

Tupia Comments