AyoTV

Yanga wakiifunga Mbao FC wamewekewa Tsh Milioni 10

on

Club ya Yanga SC leo ipo katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mbao FC ambao wamekuwa na rekodi ya kuzisumbua timu vigogo Simba na Yanga zinapokwenda kucheza katika uwanja huo.

Kuelekea mchezo huo imetolewa taarifa kupitia afisa muhamasishaji wa Yanga SC Antonio Nugaz kuwa wadhamini wa timu hiyo GSM wametangaza kuwa kama Yanga SC watashinda na kupata point tatu katika mchezo huo watapewa Tsh Milioni 10.

AUDIO: SERGIO AGUERO WA MAN CITY AMEPATA AJALI

Soma na hizi

Tupia Comments