AyoTV

VideoMAGOLI: Yanga walivyowaonesha ubabe Kagera Sugar leo FT 3-0

on

Yanga waliyokuwa na kiporo cha mchezo mmoja wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar na kutimiza jumla ya michezo 20 sawa na Simba, huku wakiachwa point tatu na Simba baada ya ushindi wa leo kuwafanya wafikishe jumla ya point 43, magoli ya Yanga yalifungwa na staa wao Ibrahim Ajib dakika ya 53 kwa mkwaju wa penati, Yusuph Mhilu huku goli la tau Juma Shemvuli wa Kagera alijifunga dakika ya 88.

UTANI MWINGINE HUU: Mkaliwenu baada ya sare ya 2-2 ya Simba SC vs Al Masry

Soma na hizi

Tupia Comments