Michezo

PICHA: Samatta tayari kapata dili la Nike?

on

November 15 2016 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta katika exclusive interview na AyoTV aliongea kuhusiana na kupendelea kutumia viatu vya Nike licha ya kuwa Adidas waliwahi kutaka kufanya nae kazi na wamewahi kumtumia viatu hivyo mara kadhaa.

Kupitia instagram story yake Mbwana Samatta amepost viatu vipya vya Nike na kuandika asante Nike Ubelgiji kwa kumpatia viatu hivyo, bado haijaelewaka moja kwa moja kama Samatta ameingia mkataba na Nike au bado lakini inawezekana dili lake limetimia?

Kama ufahamu tu ni kawaida kwa wachezaji soka Ulaya kuwa na mkataba binafsi na kampuni za vifaa vya michezo kwa ajili ya kupewa viatu na vifaa mbalimbali vya michezo mkataba ambao huwafaidisha mastaa hao.

SAMATTA AONGEA: Sababu ya kuacha kuvaa viatu vya Adidas

VIDEO:Magoli ya Simba walivyorudi kimataifa leo vs Gendermarie Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments