Bado headlines za mahusiano ya Diamond Platnumz kuyumba zinazidi kuchukua headlines kila kukicha, hii ni baada ya mfululizo wa matukio ya Diamond yanayodaiwa kuwa hayampendezi Zari hususani ukaribu wake na Wema Sepetu uliyorudi hivi karibuni.
Kuonekana kwa baadhi ya ndugu wa Diamond wapo karibu na Wema, kitendo hicho kinadaiwa kuwa kimemkera Zari na kuamua kuwa unfollow Diamond Platnumz, mama yake na ndugu wengine, kwani Diamond aliwahi kuwa na mahusiano na Wema kipindi cha nyuma.
‘Zawadi bado bado sijapewa, Wengine wananifata Chemba, GARI JE?’ Shilole