AyoTV

VIDEO: Bocco na Nyoni baada ya kukabidhiwa boda boda kutoka kwa MO Dewji

on

Baada ya club ya Simba SC kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara kwa msimu wa pili mfululizo 2018/19, muwekezaji wa timu hiyo Mohamed Dewji ‘MO’ aliahidi kuwa kila mchezaji wa Simba SC atampa zawadi ya pikipiki.

MO Dewji leo kupitia Mkurugenzi Mkuu wa masoko wa MeTL Fatma Dewji amekabidhi pikipiki hizo kwa watu 39 waliofanikisha Simba SC kutwaa taji hilo ikiwemo pamoja na wachezaji, Video hapa ni Bocco na Nyoni walivyopokea boda boda zao kwa furaha.

VIDEO:CEO WA SIMBA , ALIPOULIZWA HATMA YA AUSSEMS KWAKUTOFIKIA TARGET

Soma na hizi

Tupia Comments