Habari za Mastaa

“BEEF la Alikiba na Diamond siyo lazima liongolewe” – Nini

on

Msanii chipukizi ambaye yupo chini ya Record label ya MJ Records Nini anayefanya vizuri na wimbo wake alioutoa karibuni amekaa kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo TV na millardayo.com kuelezea maisha yake ya kimuziki alivyoanza hadi kufikia kusaini mkataba MJ Records.

Mbali na hayo Nini amezungumza kuhusu Beef ya Alikiba na Diamond akieleza kwa upande wake kuwa haoni kama kitu kilichotakiwa kuwepo na hata kama kingekuwepo basi siyo lazima kukizungumza na kupewa nafasi kubwa kwenye mitandao ingawa yeye amekiri hafahamu chanzo.

Bonyeza PLAY kumsikiliza msanii Nini hapa chini

VIDEO: Kitu Saida Karoli amefanya kwenye Fiesta ya Kahama

Soma na hizi

Tupia Comments