Habari za Mastaa

Siri ya Monalisa kupata ‘Mashavu’ ya Ubalozi hii hapa,Mwenyewe afunguka (+video)

on

Tunayo stori kutokea kwa Msanii wa filamu nchini, Yvone Cherrie ‘Monalisa’ ambado imeelezwa kuwa moja kati ya siri inayomfanya apate nafasi za Ubalozi ni uadilifu.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kusaini mkataba wa Ubalozi wa kutangaza Maziwa, Monalisa amefunguka na kusema suala la uadilifu na maadili kwa wasanii ni muhimu japo wapo wanaotumia ‘Kiki‘ ili kupata nafasi kama hizo.

KUMEKUCHA MISS ILALA, MASHARTI YAMETOLEWA “ATAPATA MILIONI MOJA”

Soma na hizi

Tupia Comments