Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Movie ya ‘Red Light’ ya Irene Uwoya kuonekana wiki hii
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Burudani > Movie ya ‘Red Light’ ya Irene Uwoya kuonekana wiki hii
Burudani

Movie ya ‘Red Light’ ya Irene Uwoya kuonekana wiki hii

December 7, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya headlines za kudaiwa Bongo Movie imekufa kutokana na uharamia wa kazi za sanaa, sasa hivi wasanii wa Bongo Movie wameamua kujikita zaidi katika kuziuza filamu zao katika TV stations kuliko kuuza tena katika mfumo wa DVD ambao umekumbwa na changamoto kubwa katika upande wa usambazaji.

Ili kurejesha ladha ya filamu za nyumbani maarufu kama Bongo Movie, ambayo kwa muda mrefu watazamaji wameikosa. Msimu huu wa Siku kuu StarTimes wataonyesha jumla ya filamu 25 katika kipindi cha mwezi mzima wa Disemb ikiwemo filamu ya Red Light ya Irene Uwoya itakayooneshwa Ijumaa hii.

Filamu hiyo inamuelezea kijana wa miaka 27 ambaye baba yake aliuwawa na rafiki yake huku mkewe akipona, kisa kikiwa ni pete ya utajiri. Mama na kijana wake wanaamua kuhama mji na kwenda kuishi sehemu nyingine ambako wanakutana na kijana anayewapatia habari kuhusu muuaji wa baba wa familia yao.

Hivyo wanasafiri kumtafuta muuaji huyo na mwishoni wanakuta akiwa amefariki hivyo wanaichukua pete ya utajiri ambayo ilichukuliwa baada ya mauaji ya baba yao, na kuwa matajiri tena, Filamu nyingine zitakazoonekana wikendi hii ni Agent Bavo na Akili Kichwania ambayo imemshirikisha mshekeshaji Haji Salum maarufu kama Mboto.

SHILOLE KAFUNGUKA “Wolper aolewe sasa, nimeamia kwangu madili mengi”

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Picha: CRDB wazindua huduma ya Premier Banking nchini Burundi

Picha: Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Burundi aipongeza benki ya CRDB ya Burundi kwa Miaka 10 ya Mafanikio

Bashungwa ateua Kamati Serengeti Music Festival

J. Cole atawala nomination Tuzo za Grammy, list hii hapa

TAGGED: bongo movie
Rama Mwelondo TZA December 7, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article SHILOLE KAFUNGUKA “Wolper aolewe sasa, nimeamia kwangu madili mengi”
Next Article BREAKING: Rais Magufuli amewasamehe Wafungwa 4,477, atuma ujumbe (+video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?